TotalEnergies yazindua wiki ya huduma kwa wateja kwa kuzindua kituo cha Mafuta

KAMPUNI ya Mafuta nchini TotalEnergies imeendelea kuwafikia watanzania wenye malengo ya kumiliki vituo vya mafuta kwa kuzindua kituo kipya cha mafuta cha TotalEnergies cha Makanya kilichopo jijini Dar es Salaam kinachomilikiwa na Kampuni ya Arasco Energies huku ikielezwa kuwa kampuni hiyo itaendelea kutoa huduma bora kwa watanzania pamoja na kushirikiana nao katika uwekezaji wa sekta…

Read More

TANESCO : HUDUMA YA UMEME IMEIMARIKA NCHINI

Akizungumza wakati wa kikao hicho, CP Hamduni ameipongeza TANESCO Mkoa wa Shinyanga kwa kazi nzuri inayoifanya ya kuwasambazia wananchi umeme ambapo mpaka sasa jumla ya wateja 98,716 wameshaunganishiwa umeme, kati ya hao wateja wakubwa ni 110.Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga CP. Salum Hamduni. “Sote tunatambua TANESCO Mkoa wa Shinyanga imeendelea kuimarisha huduma za umeme vijijini…

Read More

TANESCO – HUDUMA YA UMEME IMEIMARIKA NCHINI

Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga CP. Salum Hamduni.   Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog   Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Shinyanga limekutana na Wateja wakubwa wa umeme wakiwemo Wamiliki wa Viwanda na Migodi lengo likiwa ni kuwashukuru pamoja na kusikiliza na kupokea maoni ili kuboresha huduma za umeme kwa wateja.  …

Read More