WAZIRI MKUU ASEMA LISHE BORA NI KIPAUMBELE CHA SERIKALI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa suala ya lishe ni kipaumbele muhimu kwa Serikali katika kuwezesha utekelezaji wa mipango ya maendeleo na shughuli za kiuchumi kwa jamii jamii zikiwemo za kilimo, uvuvi, ufugaji na biashara. Amesema hayo leo (Alhamisi, Oktoba 03, 2024) wakati alipofunga Mkutano Mkuu wa Kumi wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa…

Read More

KAMISHNA WA ARDHI MSAIDIZI MKOANI MOROGORO APIGA MARUFUKU WATENDAJI WA VIJIJI KUUZA ARDHI KIHOLELA

Wananchi wa vijiji vya Msolwa Kalengakelo na kitongoji cha Mkuyuni katika kijiji cha Chisano halmashauri ya Wilaya ya Mlimba mkoani Morogoro wamevamia maeneo yaliyotengwa na serikali kwa matumizi ya ufugaji pamoja na malisho ya mifugo wakilalamikia serikali za vijiji hivyo kupitisha mpango wa matumizi Bora ya ardhi bila kuwashirikisha. Wakiongea mbele ya Kamishna wa ardhi…

Read More

Ukahaba ni 'Ukiukaji Mkubwa wa Haki za Kibinadamu'—Mtaalamu Maalum wa Umoja wa Mataifa – Masuala ya Ulimwenguni

Reem Alsalem, Mtaalamu Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ukatili Dhidi ya Wanawake na Wasichana, katika mkutano na waandishi wa habari ambapo anajadili matokeo yake kuhusu ukahaba. Credit: Naureen Hossain/IPS na Naureen Hossain (umoja wa mataifa) Alhamisi, Oktoba 03, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Oktoba 03 (IPS) – Reem Alsalem, Mtaalamu Maalumu wa…

Read More

TOC WAMSHUKURU MKUFUNZI WA JUDO KUTOKA UTURUKI

Na Khadija Kalili Michuzi Tv KAMATI  ya Olimpiki Tanzania (TOC) imeipongeza nchi ya Uturuki kwa kuwapatia Mkufunzi aliyetoa mafunzo kwa walimu wa mchezo wa Judo nchini. Makamu wa Rais (TOC) Henry Tandau amesema hayo wakati akifunga mafunzo ya walimu wa mchezo huo yaliyofanyika kwenye shule ya Filbert Bayi. Tandau amesema kuwa mafunzo hayo yameendeshwa na…

Read More

TEF yataka mazungumzo ya serikali, Mwananchi Communications

  JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limeishauri serikali na kampuni ya Mwananchi Communications, wakae meza moja, ili kufungua leseni za maudhui mtandaoni, ziliyositishwa kwa siku 30 kuanzia jana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile, katika taarifa aliyoitoa leo Alhamisi kwa vyombo vya habari, amesema meza ya mazungumzo ndiyo…

Read More

Muungano wa Ujerumani bado unakabiliwa na changamoto – DW – 03.10.2024

Akihutubia wakati wa maadhimisho hayo ya kuungana kwa iliyokuwa Ujerumani Mashariki na Ujerumani Magharibi, Scholz ameelezea namna taifa hilo linavyofanya maadhimisho hayo huku likikabiliwa ugumu katika na mapambano dhidi ya itikadi kali na siasa kali za kizalendo. Ameweka wazi kuwa si Ujerumani mashariki pekee ambako karibu robo tatu ya wapiga kura wanawachagua viongozi wenye siasa kali. Soma…

Read More

BENKI KUU YATANGAZA KIWANGO CHA RIBA KUBAKI ASILIMIA SITA

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT), Emannuel Tutuba,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya kamati ya fedha  leo Oktoba 3,2024 jijini Dodoma. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT), Emannuel Tutuba,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya kamati ya fedha  leo Oktoba 3,2024 jijini Dodoma. Waandishi wa habari…

Read More