
Nondo za Askofu Bagonza ,awaacha watu hoi,atoa wito kwa serikali
Askofu Dkt Benson Bagonza Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe ameitaka serikali kuziona sekta binafsi kama wadau na sio washindani. Ameyasema hayo wakati akiongea na wazazi pamoja na wanafunzi katika mahafali ya kidato cha nne na darasa la saba kwa shule za Kaizirege na Kemebos zilizopo Bukoba Mkoani Kagera ambapo…