
DKT. NCHEMBA ATETA NA KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA CGP JEREMIA KATUNGU
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiagana na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, CGP Jeremiah Yoram Katungu, ambaye alifika ofisini kwake kujitambulisha na kuongelea mipango ya maendeleo ya Jeshi la Magerereza, katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma. Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati wa kikao na…