TET YAINGIA MAKUBALIANO NA ENABEL KUBORESHA ELIMU NCHINI

TAASISI ya Elimu ya Tanzania (TET) na Shirika la Maendeleo la Ubelgiji (ENABEL) wametia saini rasmi hati ya makubaliano kwa ajili ya kuboresha elimu nchini katika maeneo makuu matatu. Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa makubaliano hayo, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt. Aneth Komba ameyataja maeneo waliyokubaliana ni pamoja na…

Read More

Zelensky aomba msaada zaidi wa kijeshi – DW – 03.10.2024

Akizungumzia shambulizi hilo rais Zelenskiy amesema tukio hilo ni mfululizo wa mashambulizi ya Urusi, akisisitiza haja ya msaada muhimu na wakutosha kutoka kwa washirika wake wa Magharibi akitataja shambulizi la Iran kuelekea Israeli kama mfano wa ushiriakiano wa washirika wanaofanya kazi pamoja. “Kwa muda mrefu Ukraine imekuwa ikiwaambia majirani zake wote, washirika wake wote wakuu,…

Read More

TAARIFA KWA UMMA | Mwanaspoti

Tunasikitika kuwaarifu wasomaji wetu wapendwa kuwa tunalazimika kusitisha uchapishaji wa maudhui mtandaoni kuanzia sasa kufuatia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kusitisha leseni zetu za utoaji wa huduma ya maudhui mtandaoni kwa siku 30 kutokana na kuchapisha maudhui yaliyozuiwa yanayokiuka Kanuni za Maudhui ya Mtandaoni za 2020. Mwananchi Communications Limited (MCL) inaahidi kuwaletea wateja na wasomaji…

Read More