
NSSF YAKUTANA NA WAHARIRI NCHINI
Yatambulisha Skimu ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii ya Sekta Isiyo Rasmi (NISS) *Sasa mwanachama kufungua madai ya mafao kidijitali ‘online’ *Yaweka kipaumbele cha matumizi ya TEHAMA, zaidi ya asilimia 82% sasa zinafanyika kutumia mifumo Yatoa Tuzo kwa Vyombo vya Habari vinavyotekeleza vyema sheria ya NSSF, yatambua mchango wa wahariri wastaafu Na MWANDISHI WETU, Dar…