
TANECU yaanza safari za ushirika imara kwa kuzindua viwanda vya kubangua korosho
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Chama Kikuu cha Ushirikia cha TANECU Ltd. kimeanza safari ya kuwa na ushirikia imara kwa kujenga kiwanda cha kubangua korosho Newala, mkoani Mtwara kilichogharimu sh bilioni 3.4. Kiwanda hicho kimezinduliwa rasmi na Hussein Bashe (Mb), Waziri wa Kilimo Oktoba 1, 2024 ambapo maelfu ya wakulima wameshuhudia kwa hamasa za uhakika…