
Mchengerwa aagiza mchakato uanze kuipandisha hadhi Wilaya ya Arusha
Arusha. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Arusha kuanza mchakato wa kuomba kuipandishwa hadhi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha kuwa Halmashauri ya Mji wa Arusha. Mchengerwa ameyasema hayo leo Jumatano Oktoba 2, 2024 wakati akizungumza kwenye ziara ya ukaguzi wa…