Mlandizi Queens imekuja kuwashika! | Mwanaspoti

MLANDIZI  Queens ni miongoni mwa timu zenye umaarufu na historia kubwa nchini mbali ya Simba Queens na Yanga Princess, ikiwa imeshatwaa ubingwa wa Tanzania msimu wa 2016/17 na kutoa wachezaji mahiri akiwamo Mwanahamis Omary ‘Gaucho’, Donisia Minja na Asha Mwalala. Mlandizi wanarudi Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) baada ya misimu miwili tangu waliposhuka daraja mwaka…

Read More

Tanesco yaibuka mshindi wa kwanza maonesho ya TIMEXPO 2024

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeibuka mshindi wa kwanza katika kipengele cha Ubunifu na Muonekano mzuri wa banda katika Maonesho ya Pili ya Kimataifa ya Viwanda Tanzania (TIMEXPO 2024). Tanesco imekabidhiwa tuzo hiyo ya ushindi leo Oktoba 2,2024 na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, wakati wa kufunga…

Read More

Ajali yaua wawili Pemba | Mwananchi

Pemba. Watu wawili akiwemo mwalimu wa Shule ya Msingi Finya wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kutokana na ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Kinazini Wingwi Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba. Daktari wa Hospitali ya Micheweni, Hamad Mbwana Shoka ameieleza Mwananchi Digital leo Oktoba 2, 2024 kwamba wamepokea watu saba ambapo kati ya hao,…

Read More

Vijana 181 wenye ulemavu wa akili wanufaika ufundi stadi

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Vijana 181 wenye ulemavu wa akili kutoka Manispaa ya Morogoro na Halmashauri ya Mji Mdogo Ifakara wamepatiwa mafunzo ya ufundi stadi kuwawezesha kuondokana na utegemezi na kujikwamua kiuchumi. Mafunzo hayo yametolewa kwa ushirikiano wa Shirika lisilokuwa la kiserikali linaloshughulikia maendeleo ya wanawake na vijana (Mwayodeo) la mkoani Morogoro na Taasisi…

Read More

Anayedaiwa kuchukuliwa na askari kwa mahojiano akutwa ameuawa Zanzibar

“Mwanangu ameuawa, kifo cha kikatili naomba haki itendeke waliofanya hivi wachunguzwe, ni kweli kifo kipo lakini sio cha namna hii…” Hii ni kauli ya Saada Ramadhan Mwendwa mama mzazi wa Ramadhan Idd Shaaban (48) akianza kusimulia jinsi mwanaye alivyochukuliwa na watu waliojitambulisha ni askari wakidai wanakwenda kufanya mahojiano naye lakini aliokotwa akiwa amefariki dunia eneo…

Read More