
Kocha Simba afikisha siku 681 rumande, upelelezi bado
KOCHA wa zamani wa makipa wa timu ya Simba, Muharami Sultani (40) maarufu kama Shilton na wenzake, wanaendelea kusota rumande kwa siku 681 hadi sasa kutokana na upelelezi wa shauri hilo kutokamilika. Sultan na wenzake watano wanakabiliwa na mashtaka manane yakiwamo ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine zenye uzito wa kilo 34.89 pamoja…