WADAU WA JOTOARDHI KUKUTANA TANZANIA

Meneja Makuu wa Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC),Mathew Mwangomba, akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 2,2024 jijini Dodoma kuelekea kwenye Kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika litakalofanyika kuanzia Oktoba 21 hadi 27,mwaka huu jijini Dar es Salaam. Na.Alex Sonna-DODOMA WIZARA ya Nishati kwa kushirikiana na Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC) pamoja na…

Read More

Uchaguzi Chadema: Boni Yai kushinda akiwa gerezani?

Dar es Salaam. Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai atalazimika kupigiwa kura ya nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kanda ya Pwani akiwa gereza la Segerea jijini Dar es Salaam. Endapo atashinda uchaguzi huo uliopangwa kufanyika Jumamosi Oktoba 5, 2024 Kibaha mkoani Pwani, atakuwa kada wa pili…

Read More

Lina PG Tour yamsogeza Mollel karibu na Dubai

Na Mwandishi Wetu MCHEZAJI gofu ya kulipwa Nuru Mollel ana uhakika wa kutwaa ubingwa wa michuano baada ya kushinda raundi ya nne ya michuao ya Lina PG Tour mjini Moshi, ni muujiza pekee katika raundi ya tano ya michuano hiyo ndiyo itabadili muelekeo. Mollel kutoka klabu ya Arusha Gymkhana amejiweka katika nafasi nzuri ya kuwa…

Read More

MAENDELEO YA TANZANIA YANATOKANA NA UHUSIANO MZURI WA KIDIPLOMASIA NA KIUCHUMI WA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN NA NCHI WAHISANI- MHE.SIMBACHAWENE 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akisisitiza jambo wakati akizungumza na Kamati ya Usalama, Wakuu wa Idara, Wakuu wa Taasisi na Watumishi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Mara wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kukagua na kuzindua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani…

Read More

Tuone aibu kuzaa mtoto na kuachishwa shule – Dkt. Biteko

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wazazi na walezi nchini kutumia fursa ya miundombinu ya shule inayojengwa kwa ushirikiano wa Serikali na wafadhili kuwasomesha Watoto na hatimaye kuchochea maendeleo. Dkt. Biteko amesema hayo wakati akizindua miundombinu ya Shule ya Sekondari ya Milles and Kimbery White iliyojengwa kwa zaidi ya…

Read More