
RC RUVUMA AWASHUKURU WAANDISHI ZIARA YA RAISI
Na Yeremias Ngerangera – Songea. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed aliwashukuru waandishi wa habari wa Mkoa wa Ruvuma Kwa kuitangaza vyema ziara ya Raisi alipokuwa Mkoani Ruvuma. Kanali Ahmed Abbas Ahmed aliwashukuru waandishi wa habari kwenye kikao alichokifanya na waandishi hao ofisini kwake mara baada ya kumalizika Kwa ziara ya Raisi…