
Bilioni 10 kutekeleza mradi wa umeme vitongoji 90 mkoani Njombe
Serikali imetenga Bilioni 10 ili kutekeleza mradi wa umeme vijijini (REA) katika vitongoji 90 vya mkoa wa Njombe vitakavyohusisha vitongoji 15 katika kila jimbo la mkoa huo lenye majimbo sita. Hayo yameelezwa na katibu Tawala mkoa wa Njombe Judica Omary wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani hapo ambapo amesema mradi huo umekuwa ukisubiriwa kwa…