
Kaya atua Singida Black Stars
UONGOZI wa Singida Black Stars umemalizana na aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Namungo, Omar Kaya ambaye amejiunga na timu hiyo kuongeza nguvu katika uongozi akipewa nafasi ya makamu mwenyekiti. Kaya ambaye ana uzoefu mkubwa wa soka la Tanzania ameungana na timu hiyo siku chache baada ya Agosti 30, mwaka huu kuachia ngazi Namungo kutokana na…