
Hasara 10 za kuchelewa kujiandikisha
Dodoma. Kuchelewa au kushindwa kujiandikisha kwa wakati ili kupiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 kuna hasara nyingi. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, uandikishaji wapigakura utaanza Ijumaa ya wiki ijayo Oktoba 11-20,…