‘Vyama vya Ushirika badilikeni’ – Mtanzania

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Serikali imeendelea kutoa msisitizo kwa Vyama vya Ushirika na kuvitaka kujenga misingi imara ya ushirika ili kumlinda mkulima badala ya kumnyonya na kumdhulumu haki zake. Hayo yamesemwa na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (Mb) Oktoba 1, 2024 wakati akizindua Kiwanda cha Kubangua Korosho cha TANECU kilichopo Newala, mkoani Mtwara. Waziri…

Read More

Kabendera kukata rufaa kesi yake dhidi ya Vodacom

  MWANDISHI wa Habari za uchunguzi nchini, Erick Kabendera, amesema anakusudia kukata rufaa katika Mahakama ya Rufaa nchini kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Dar es Salaam, ambayo ilitupilia mbali shauri lake namba 12799/2024, aliyoifungua dhidi ya kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania. Anaripoti Faki Sosi,…

Read More

Ndege ya kwanza kutengenezwa Tanzania yaanza safari zake

Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuwa ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, zinazojulikana kama Skyleader 600, zimeanza rasmi safari zake ndani na nje ya nchi. Mkurugenzi wa AAL, Bw David Grolig amesema kuwa ndege moja kati ya hizo tatu imetua kwa mara ya kwanza kwenye uwanja Ndege wa Kimataifa…

Read More

Bunge la Kenya lapokea hoja ya kumuondosha makamu wa rais – DW – 01.10.2024

Muda mfupi kabla saa 9:00, Spika wa Bunge la Taifa, Moses Wetangula, alifungua kikao ili kuupisha mjadala wa kumtimua Naibu Rais Rigathi Gachagua. ikao kilijaa pomoni na wabunge walishangilia kwa kupiga miguu chini wakati hoja hiyo ilipowasilishwa. Gachagua analaumiwa kwa kumdhihaki Rais William Ruto, kueneza ukabila, kujilimbikizia mali kwa njia za ufisadi na kutumia vibaya…

Read More

Kiwango Kikubwa cha Visiwa Vidogo Vinavyopigania Fedha za Hali ya Hewa – Masuala ya Ulimwenguni

Sehemu ya Castries, Saint Lucia. Kupitia NDCs kabambe, SIDS kama Saint Lucia wanatarajia kuimarisha uthabiti na kulinda uchumi na miundombinu yao. Upatikanaji wa ufadhili wa kutosha wa hali ya hewa bado ni muhimu kwa juhudi hizi. Mkopo: Alison Kentish/IPS na Alison Kentish (mtakatifu lucia) Jumanne, Oktoba 01, 2024 Inter Press Service SAINT LUCIA, Oktoba 01…

Read More

Wanawake, Vijana watengewa bilioni 1/= Karatu

  HALMASHAURI ya Wilaya ya Karatu, mkoani Arusha imetenga Sh. 1.1 bilioni, kwa ajili ya mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa mwaka 2024/2025. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha … (endelea). Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Juma Hokororo, amewaambia wanahabari leo tarehe 01 Oktoba 2024, kuwa kati ya fedha hizo, Sh. 440 milioni zimetengwa…

Read More