
Polisi Arusha kuchunguza tukio la kifo cha mtu mmoja eneo la Moivaro
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linafanya uchunguzi wa kifo cha mtu aitwaye David Mollel mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 50 hadi 55 mkazi wa Baraa Jijini Arusha aliyekutwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa umening’inia juu ya mti msituni katika eneo la mlima wa Oldonyomasi uliopo kata ya Moivaro Jijini Arusha octoba01,…