
Mhe. Albert chalamila kuongoza mkutano mkuu wa Tano wa Bodi ya usajili wabunifu majengo na wakadiriaji ujenzi.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe.Albert Chalamila anatarajiwa kuongoza mkutano mkuu wa Tano wa Bodi ya usajili wabunifu majengo na wakadiriaji ujenzi, siku ya tarehe 29 oktoba mwaka 2024 katika kumbi ya mikutano ya kimataifa ya Mwalimu Julius Nyerere . Akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa Bodi ya usajili wabunifu majengo na…