
Polisi wakamata shehena ya mafuta ya kula baharini
JESHI la Polisi, Kikosi cha Wanamaji Dar es Salaam, limekamata mafuta ya kula lita 20,400 na watuhumiwa 11, waliokuwa wanayasafirisha kwa njia za magendo kutoka bandari bubu ya Zanzibar kuelekea bandari bubu ya Kunduchi. Anaripoti Restuta James, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa ya kamanda wa kikosi hicho, Moshi Sokoro, kwa umma jana ilieleza…