
Wanne jela miaka 20 kila mmoja kwa kupatikana na heroini
Arusha. Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Masjala Ndogo ya Mtwara, imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela washitakiwa wanne baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevye aina ya heroini gramu 7,992.82. Hukumu hiyo imetolewa Septemba 25, 2024 na Jaji Martha Mpaze katika kesi ya uhujumu uchumi namba…