Conservative wasaka uongozi mpya – DW – 01.10.2024

Mwanzoni mwa mkutano wa mwaka wa chama hicho mjini Birmingham, wagombea hao wanne, wanaowajumuisha waziri wa zamani wa uhamiaji Robert Jenrick na mwenzake wa biashara, Kemi Badenoch, waliwasilisha azma yao ya kutaka nafasi ya kiongozi mpya wa chama hicho . Baada yake miaka 14 madarakani kumalizwa kwa ushindi mkubwa wa chama cha Labour mwezi Julai,…

Read More

Huyu ndiye mkuu mpya wa NATO – DW – 01.10.2024

Julai 2023,  Rutte alitangaza kujiuzulu wadhifa wake wa waziri mkuu wa Uholanzi na miezi michache baadaye akaanza kudhihirisha nia yake ya kumrithi Katibu Mkuu wa NATO, Jens Stoltenberg, ambaye alitangaza kuachia wadhifa huo ifikapo Septemba 2024. Kwa miezi kadhaa, Rutte aliendesha kampeni yake ndani ya muungano wa NATO, huku viongozi wengi wakiwa tayari wanamfahamu alipokuwa waziri mkuu wa…

Read More

Ulinzi umegeuka nguzo muhimu Simba, Yanga

Uimara wa safu za ulinzi ulioonyeshwa na Simba na Yanga katika mechi za mwanzo za msimu unaashiria ushindani mkubwa ambao utakuwepo baina ya timu hizo mbili katika mashindano mbalimbali ambayo zinashiriki. Tofauti na mechi za mwanzo za msimu uliopita, safari hii kila timu inaonekana kuwa imara zaidi katika eneo hilo na hilo linathibitishwa na takwimu…

Read More

Michezo kuhamasisha wananchi kushiriki uchaguzi Mpimbwe

Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga halmshauri ya Mpimbwe Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wameoneshana ubabe katika tamasha maalum la kuhamasisha watu kushiriki zoezi.la kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura kuanzia octoba 11 hadi 20 maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika novemba 27 mwaka huu   Akizungumza katika tamasha Hilo mgeni…

Read More

Mfahamu Katibu Mkuu Mpya wa NATO – DW – 01.10.2024

Mwezi Julai mwaka 2023, Mark Rutte alitangaza kujiuzulu katika wadhifa wake wa Waziri Mkuu wa Uholanzi na miezi michache baadaye akaanza kudhihirisha nia yake ya kumrithi Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg, ambaye alitangaza kuachia wadhifa huo Septemba mwaka huu wa 2024. Kwa miezi kadhaa, Rutte aliendesha kampeni yake ndani ya muungano wa NATO, huku…

Read More