
Waziri Gwajima atoa neno kifungo ‘waliotumwa na afande’
Dar es Salaam. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum, Dk Dorothy Gwajima, amezungumzia kifungo cha vijana wanne, maarufu ‘waliotumwa na afande’ kumbaka na kumlawiti binti wa Yombo Dovya. Hii ni baada ya Waziri Gwajima kuposti katika mtandao wake wa X zamani Twitter, hukumu ya watu hao wanne ambao jana Septemba…