
Pre-Form One na msimu wa shule binafsi ‘kupiga fedha’
Baada ya kumalizika kwa mitihani ya kuhitimu darasa la saba, wazazi kote nchini Tanzania wanapata furaha isiyo kifani kuona watoto wao wamevuka hatua hiyo muhimu katika safari ya elimu. Picha za pongezi zimejaa kwenye mitandao ya kijamii, zikionesha furaha, matumaini, na fahari ya wazazi wanaojiandaa kupeleka watoto wao kwenye ngazi ya sekondari. Miaka saba ya…