
SIKU YA VIWANGO DUNIANI: TBS YASISITIZA UMUHIMU WA USHIRIKI WA WANANCHI KATIKA UANDAAJI WA VIWANGO
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KATIKA kuadhimisha Siku ya Viwango Duniani, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wadau na wananchi kwa ujumla kushiriki katika kuandaa na kutoa maoni wakati kiwango kikiwa katika mchakato wa utengenezaji ili kiwango kinapotangazwa kikidhi mahitaji ya jamii . Wito huo umetolewa leo Oktoba 28, 2024 Jijini Dar es Salaam na…