Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Rwanda, Israel Mboni, atua Tanzania kwa huduma ya Uimbaji

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Rwanda, Israel Mboni, anayefahamika kwa wimbo wake maarufu Nina Siri, amewasili nchini Tanzania kwa ajili ya kutoa huduma katika matamasha ya uimbaji yanayotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa Novemba. Matamasha hayo yamepangwa kufanyika Novemba , 2024 katika Ukumbi wa Mlimani City na Novemba 3 katika Viwanja…

Read More

BoT yawaonya Watanzania biashara ya noti chakavu

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewaonya Watanzania dhidi ya kununua na kuuza noti chakavu mitaani, ikieleza kuwa ni kosa kisheria na kwamba biashara hiyo ni ya kitapeli. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 31, 2024, na Kaimu Mkurugenzi wa Usimamizi wa Sarafu BoT, Ilulu Ilulu, alipokuwa akitoa…

Read More

REA YATOA KIPAUMBELE UJENZI MIRADI YA NISHATI JADIDIFU

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kipaumbele kwenye ujenzi wa miradi ya nishati jadidifu nchini ili kusaidia utunzaji wa mazingira, kuzalisha umeme wa uhakika na kutoa ajira kupitia miradi hiyo. Hayo yamebainishwa leo Oktoba 31, 2024 na Mkurugenzi wa Teknolojia Mbadala na Nishati Jadidifu kutoka REA, Mha. Advera Mwijage alipotembelea mradi wa Mwenga Hydro unaozalisha…

Read More

BoT yaonya Watanzania biashara ya noti chakavu

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewaonya Watanzania dhidi ya kununua na kuuza noti chakavu mitaani, ikieleza kuwa ni kosa kisheria na kwamba biashara hiyo ni ya kitapeli. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 31, 2024, na Kaimu Mkurugenzi wa Usimamizi wa Sarafu BoT, Ilulu Ilulu, alipokuwa akitoa…

Read More

MAKAMU WA PILI RAIS ZANZIBAR MHE. HEMED SULEIMAN AKABIDHI MKOPO KWA WAJASIRIAMALI,AWAPONGEZA UWT KWA KUWASEMEA WANAWAKE

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah amekabidhi hundi yenye thamani ya Sh Milioni 75 iliyotolewa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ikiwa ni Programu ya mikopo kwa Makundi Maalum Wanawake,Vijana na Walema na kueleza kuwa kazi ya Serikali ya Awamu ya Nane(8) ni kuwatumikia Wazanzibari hasa katika kuwaletea maendeleo wananchi kupitia…

Read More

NMB Yatenga Bilioni 1 Kufadhili Matibabu ya Watoto Wenye Maradhi ya Moyo JKCI

Benki ya NMB imeingia makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ambapo imetenga Shilingi Bilioni Moja kwa miaka minne, ikichangia Shilingi Milioni 250 kila mwaka kusaidia matibabu ya watoto wenye maradhi ya moyo wanaopata huduma JKCI. Makubaliano haya, yanayoanza kutekelezwa rasmi mwaka huu, yanalenga kuwezesha upatikanaji wa taarifa na huduma za…

Read More