
MAMA MARIAM MWINYI KUSHIRIKI MKUTANO WA MERCK FOUNDATION
MKE wa Rais wa Zanzibar , Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili Jijini Dar es Salaam . Mama Mariam Mwinyi atashiriki Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary , utakaofanyika tarehe 29-30 Oktoba 2024 katika hoteli ya Johari…