
WAZIRI CHANA AELEKEZA ASKARI UHIFADHI KUWEKA KAMBI IKUNGI KUKABILIANA NA TEMBO
Na Happiness Shayo -Ikungi Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameelekeza timu ya Askari Uhifadhi 18 kuweka kambi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida kwa lengo la kukabiliana na tembo wanaovambia makazi ya watu. Hatua hiyo inafuatiwa na tukio la hivi karibuni la tembo kuwepo katika eneo hilo na…