CHEZA 40 LUCKY SEVENS UNYAKUE KITITA LEO

WAKATI unajiuliza Jumapili yako itakuaje Meridianbet wanakupa fursa ya kuipendezesha kupitia mchezo mzuri wa kasino wa 40 Lucky Sevens, Sasa unaweza kucheza mchezo huu ili uweze kunyakua kitita kizito. 40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma “Game Art“. Utapenda mchezo huu ikiwemo aina mbili za alama ya…

Read More

WAKONGO WAGOMA KUZIKA BINTI YAO

Mchungaji Kalanba Mukala Louis  ambaye ni baba wa marehemu  binti Berlis. Baba mdogo wa marehemu  Mchungaji  Enock  Ambroseo. Aliyekuwa Mwenyekiti  wa Jumuiya ya Wakongomani wanaoishi nchini Abdallah Serge. Na Mwandishi Wetu RAIA wenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Congo (DRC) wanaoishi nchini wameweka msimamo wao wa kugoma kuzika mwili wa binti Ngalula…

Read More

Samaki Samaki ilivyosheherekea miaka 17, ni Burudani kwa kwenda mbele

Mgahawa maarufu wa Samaki Samaki, jijini Dar es Salaam, ulitimiza miaka 17 tangu ulipoanzishwa rasmi mwaka 2007. Mgahawa huu, unaomilikiwa na mfanyabiashara maarufu Carlos Bastos, maarufu kwa jina Kalito Samaki, umekuwa na mafanikio makubwa katika sekta ya chakula na burudani nchini Tanzania. Kupitia mafanikio hayo, mwaka 2020, ulizalisha mgahawa mwenza unaoitwa *Kukukuku*, ambao pia jana…

Read More

UWEKEZAJI SEKTA YA MASHIRIKA YA UMMA UMEFIKIA TRILIONI 86

Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi wa Uwekezaji Ofisi ya Msajili Hazina Lightness Mauki amesema uwekezaji wa serikali katika mashirika ya umma nchini umefikia shilingi trioni 86 kufikia mwaka 2024 hivyo amewataka Viongozi wa mashirika ya umma kuhamasisha wananchi wanapata tija kwa uwekezaji huo. Amesema hayo wakati akifunga Mafunzo kwa viongozi wa Taasisi na Mashirika ya umma…

Read More

Bil 379 kukarabati reli ya Tabora – Mpanda

  SERIKALI imepanga kutumia Sh. 379.3 bilioni kwa ajili ya ukarabati wa reli yenye urefu wa kilomita 210 kutoka Kaliua, Tabora hadi Mpanda Mkoani Katavi, pamoja na ujenzi wa njia ya kilomita 8 kwa ajili ya treni kupishana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Katavi … (endelea). Akizungumza na Wananchi wa Kata Ugalla katika ziara yake ya kikazi…

Read More

Trump amshambulia Harris katika mkutano wa New York – DW – 28.10.2024

Mgombea urais wa chama cha Republican Donald Trump alimshambulia Makamu wa Rais Kamala Harris katika mkutano wa hadhara kwenye Ukumbi wa Madison Square, New York, Jumapili usiku. “Umeharibu nchi yetu. Hatutavumilia tena, Kamala, umefukuzwa kazi. Toka kabisa. Umefukuzwa,” Trump aliuambia umati. Pia alimwita Harris “mtu mwenye ufahamu mdogo sana.” “Uchaguzi huu ni chaguo kati ya…

Read More

MHE. PINDA ,SEOM WAKUTANA NA MACHIFU WA BOTSWANA

Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC-SEOM) Mhe. Mizengo Pinda na ujumbe wake wa SEOM wamekutana na kuzungumza na machifu kutoka koo mbalimbali za nchini Botswana katika kikao kilichofanyika jijini Gaborone tarehe 27 Oktoba 2024 ikiwa ni sehemu ya vikao ambavyo SEOM imekuwa ikifanya na wadau…

Read More

Aweso aweka jiwe la msingi ujenzi shule ya Kata Mwanuzi

  WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso amesema Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya kazi kubwa sana katika uwekezaji kwenye Miundombinu ya Elimu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Busega, Mwanza … (endelea). Waziri Aweso ameyasema hayo baada ya kuzindua mradi wa Ujenzi wa shule mpya ya Kata ya Mwanuzi yenye madarasa nane, jengo…

Read More