
PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 28,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 28,2024 About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 28,2024 About the author
WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amempgia simu na kumuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Eng. Aisha Amour na Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kufika mara moja katika Kisiwa cha Mafia kupiga kambi kusimamia matengenezo ya Kivuko cha MV Kilindoni na kuhakikisha hawatoki mpaka huduma ya usafiri…
WAZIRI wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa ameweka mawe ya msingi na kuzindua miradi minne ya maendeleo yenye jumla ya shilingi bilioni 1.793 katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mpanda, Katavi … (endelea). Katika siku ya pili ya ziara yake Mkoani humo, leo tarehe 27 Oktoba 2024, Waziri Mbarawa amefanya ukaguzi ukarabati…
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba madelu (Mb), akiteta jambo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Bi. Victoria Kwakwa (kushoto), Makao Makuu ya Benki ya Dunia, Jijini Washington D.C, nchini Marekani, ambapo alijadili masuala kadhaa ya ushirikiano kati ya Tanzani na Benki hiyo. Waziri…
Na Mwandishiii wetu, Morogoro Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum), Mhe. Kapt. George Mkuchika, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa akifanya mambo makubwa kwa maendeleo ya Watanzania kwa kuboresha sekta mbalimbali zikiwemo za elimu, afya na barabara. Mkuchika amesema hayo Oktoba 26, 2024…
Ndugu mteja wa Meridianbet baada ya jana kushuhudia mechi kali zikipigwa kwenye ligi mbalimbali, leo hii pia ni bandika bandua, mechi nyingi za pesa zipo leo. Ingia na ubashiri sasa. Uingereza pale EPL leo kuna mitanange ya kukata na shoka ambapo Chelsea baada ya kupoteza mchezo uliopita leo hii atamualika kwake Newcastle United ambaye pia…
Washindi wapo sehemu moja tu kwasasa ni wale ambao wanacheza mchezo wa kasino wa40 Lucky Sevens ambao umefanikiwa kubadilisha maisha ya wengi, Kwani watuwameshinda mamilioni ya kutosha kupitia mchezo huu. 40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma“Game Art“. Utapenda mchezo huu ikiwemo aina mbili za alama…
Urusi imesema wanajeshi wake wamesogea zaidi mashariki mwa Ukraine na kukitwaa kijiji kimoja kwenye eneo la mapambano, kilomita chache tu kutoka kaskazini mwa mji muhimu ambao ni kitovu wa shughuli za kiviwanda unaoshikiliwa na Ukraine.Soma Pia: Viongozi wakuu duniani waunga mkono uhuru wa Ukraine Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema vikosi vyake vimelikombowa eneo la…
*Dkt. Biteko Amwakilisha Rais Samia Jubilei ya Miaka 50 ya AICT Magomeni, Achangia Milioni 100 Ujenzi wa Kanisa *Atoa Wito kwa Viongozi wa Dini Kutimiza Kusudi la Mungu Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya…
*MILANGO YA RAIS SAMIA IKO WAZI, ANAWAKARIBISHA VIONGOZI WA DINI: DKT. BITEKO* 📌 *Dkt. Biteko Amwakilisha Rais Samia Jubilei ya Miaka 50 ya AICT Magomeni* 📌*Rais Samia Achangia Milioni 100 Ujenzi wa Kanisa* 📌*Awahimiza Waaumini Kujitoa Kujenga Kanisa* 📌 *Atoa Wito kwa Viongozi wa Dini Kutimiza Kusudi la Mungu* 📌 *Awahimiza Watanzania Kushiriki Uchaguzi wa…