
Mashujaa wa Kansa ya Matiti watoa umuhimu wa kuanza matibabu ya kansa mapema
Yataka watu kuacha tiba za waganga kienyeji katika kuokoa maisha yao. Na Chalila Kibuda ,Michuzi TV Mashujaa wa Kansa ya Matiti wameitaka wamewataka wanawake kupima mara kwa mara na wanapogundulika kuanza matibabu katika dalili awali ambazo kupona ni asilimia 100. Wakizungumza katika katika Mafunzo ya Wanafunzi Madaktari katika Taasisi ya Saratani Ocean…