
KAMATI YA BUNGE PIC YARIDHISHWA NA MIRADI YA NHC MTUMBA
Na Gideon Gregory, Dodoma. Kamati ya kudumu ya Bunge ya uwekezaji wa mitaji ya umma (PIC), imeiomba serikali kuhakikisha inaangalia namna bora ya kuweza kutunza majengo ambayo kwasasa yanaelekea kutamatika ili uwekezaji uliofanyika uweze kuleta tija. Ombi hilo limetolewa leo Oktba 26,2024 Jijini Dodoma na Mwenyekiti wa kamati hiyo na Mbunge wa Jimbo la Kasulu…