
PUMA ENERGY TANZANIA YATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WADAU KUFANIKISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
NA MWANDISHI WETU PUMA Energy Tanzania imetakiwa kushirikiana na wadau mbalimbali nchini kufanikisha azma ya Serikali ya kuhakikisha inatekeleza ipasavyo mkakati wa taifa wa nishati safi ya kupikia unaolenga asilimia 80 ya wananchi kutumia gesi ifikapo mwaka 2034. Wito huo umetolewa Oktoba 25, 2024 Jijini Dar es Salaam na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya…