
Waziri: Miradi ya PPP ni muhimu katika Bajeti ijayo
SERIKALI imejipanga kuweka kipaumbele katika utekelezaji wa miradi mikubwa kwa ushirikiano na sekta binafsi ili kukuza uchumi kwa kiasi kikubwa katika mwaka wa fedha cha 2025/26. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Prof. Kitila Mkumbo, Waziri wa Mipango na Uwekezaji katika Ofisi ya Rais’ alisema hayo wakati wa uwasilishaji wake kwa kamati…