Athari za Megatrends ya Kimataifa juu ya Umaskini katika Asia na Pasifiki – Masuala ya Ulimwenguni

Credit: Shirika la Hali ya Hewa Duniani/Muhammad Amdad Hossain Maoni na Selim Raihan, Selahattin Selsah Pasali (bangkok, Thailand) Ijumaa, Oktoba 25, 2024 Inter Press Service BANGKOK, Thailand, Oktoba 25 (IPS) – Katika miongo ijayo, kanda ya Asia na Pasifiki inakabiliwa na msururu wa changamoto ambazo zinatishia kuzidisha umaskini. Miongoni mwa haya, mabadiliko ya hali ya…

Read More

40 Lucky Sevens inamwaga mihelaa tu

Kupitia mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wanasogezea mchezowa kasino wa 40 Lucky Sevens, Kupitia Mchezo huu unaweza kuondoka na kitita kizito. 40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma“Game Art“. Utapenda mchezo huu ikiwemo aina mbili za alama ya scatter. Pia kuna alama zaJokeri zinazojaza…

Read More

WAZIRI WA NISHATI ZANZIBAR AIPA KONGOLE REA

-AISISITIZA KUENDELEA NA UHAMASISHAJI -REA YAELEZEA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA NA USAMBAZAJI WA UMEME VIJIJINI Waziri wa Maji, Nishati na Madini, Mhe. Shaib Kaduara ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kuendelea kuhakikisha huduma za Nishati zinafika katika maeneo yote ya Vijiji Tanzania Bara. Ametoa pongezi hizo Jijini Dar es Salaam…

Read More

KAMPENI YA TUWAAMBIE KABLA YA HAWAJAHARIBIWA YAENDELEA ARUSHA

Na.Vero Ignatus Arusha. Jeshi la Polisi wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha limeendelea kutoa Elimu ya kujitambua na namna ya kujiepusha na vitendo via mmomonyoko wa maadili kwa wanafunzi wa shule za Sekondari wilayani humo, kujiepusha na makundi na mabaya yatakayoharibu tabia njema na kuingia kwenye upotokaji Akizungumza leo 25octoba 2024 na wanafunzi Katibu Tawala wilaya…

Read More