Tanzania na Afrika ya Kusini Zaingia Makubaliano ya Ushirikiano wa Teknolojia ya Anga

Nchi ya Tanzania pamoja na Afrika ya Kusini zimeingia makubaliano kushirikiana katika teknolojia ya anga wakati nchi ikijiandaa kurusha satelaiti yake ya kwanza mwaka 2026. Akizungumza leo Oktoba 31,2024 Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Taaluma, Dkt.Petro Ernest amesema Teknolojia ya anga inasaidia Maendeleo katika nyanja tofauti tofauti kwani inajumuisha Mambo mengi yamayohusu maisha ya…

Read More

Afrika katika magazeti ya Ujerumani – DW – 31.10.2024

 Zeit Online Zeit Online limeangazia tahadhari iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, kuhusu madhara ya ongezeko la machafuko nchini Sudan. Limemnukuu Guterres akilihutubia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa akisema kuwa, wahusika wa vita vya Sudan wanachochea vurugu na mataifa ya kigeni yanauzidisha mzozo. Raia nchini humo wanaishi katikati ya…

Read More

UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA VIJANA BALEHE NI MSINGI WA TAIFA BORA”-DKT YONAZI

Na WMJJWM, Dodoma. Serikali imejidhatiti kutatua changamoto zinazowakumba vijana balehe kwa kuweka mazingira salama na rafiki kwa vijana kupitia afua mbalimbali zinazowawezesha vijana kufikia malengo yao na utimilifu wao kwa ujumla. Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera ,Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi akifungua mkutano wa wadau wanaotekeleza Afua za Vijana Balehe…

Read More

TENGENI BAJETI KABLA YA KUTWAA ARDHI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema taasisi yoyote ambayo inahitaji kutwa ardhi ambapo wananchi wanaishi au wanafanya shughuli mbalimbali za maendeleo lazima iwe imetenga bajeti ya kuwafidia kabla ya kufanyika kwa zoezi hilo ili kuondoa usumbufu. Ameyasema hayo leo (Alhamisi, Oktoba 31, 2024) wakati akijibu swali la Mbunge wa Kilwa Kusini, Ali Kasinge ambaye alitaka kujua…

Read More

KUWA MSHINDI WA MAMILIONI LEO KUPITIA BEACH PENALTIES

UNAWEZA kuibuka mshindi wa mamilioni leo kwa kucheza mchezo pendwa wa kasino kwasasa unaofahamika kama Beach Penalties, Mchezo huu umegeuka kua mchezo pendwa kwa wateja kwakua ni rahisi kuucheza lakini pia kushinda mkwanja. Umahiri wako wa kupiga mikwaju ya Penalty ndio inaweza kukufanya ukaondoka na mamilioni kupitia mchezo huu pendwa kwasasa, Kwani utapaswa kupiga penalty…

Read More