
Rais Dkt. Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar tarehe 25 Oktoba, 2024. Viongozi mbalimbali…