Benki ya DCB yaja na mikopo ya pikipiki na bajaji kuwakomboa vijana na mikopo ya mikataba ‘kausha damu’

Benki ya Biashara ya DCB imezindua mikopo ya boda boda na bajaji yenye masharti nafuu, ikiwa na lengo la kuwaondolea adha na usumbufu vijana wanaojishughulisha na biashara ya usafiri wa boda boda wanayoipata kutoka baadhi ya watu wanaotoa mikopo yenye masharti magumu maarufu kama ‘mikopo umiza ama kausha damu’. Akizungumza katika hafla hiyo, Mbagala, Temekez,…

Read More

Bila Hatua ya Kuharakishwa, Tutakosa Fursa ya Kupunguza Joto hadi 1.5°C, Asema Mshauri Mkuu wa Hali ya Hewa wa UNEY — Masuala ya Ulimwenguni

Anne Olhoff, Mshauri Mkuu wa Hali ya Hewa katika UNEP na Umar Manzoor Shah (Copenhagen na Srinagar) Alhamisi, Oktoba 24, 2024 Inter Press Service COPENHAGEN & SRINAGAR, Oktoba 24 (IPS) – Anne Olhoff, Mshauri Mkuu wa Hali ya Hewa katika UNEP, alisisitiza haja ya haraka ya kuchukua hatua za hali ya hewa kabla ya COP29…

Read More

Israel yauwa 28 Gaza, 3 Lebanon – DW – 25.10.2024

Mashambulizi ya anga ya Israel kusini mashariki mwa Lebanon dhidi ya nyumba inayokaliwa na waandishi wa habari mapema siku ya Ijumaa (Oktoba 25) yamewauwa waandishi watatu wa habari.  Kituo cha habari cha Lebanon, Al Jadeed, kilichapisha picha za video kutoka kwenye eneo la tukio zikionesha majengo yaliyoporomoshwa na gari zenye maandishi ya PRESS, kwa maana ya…

Read More