
PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 25,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 25,2024 About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 25,2024 About the author
*Mfumo ni kwa ajili ya kuchakata taarifa za fedha. Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Tausi Africa imezindua rasmi Manka ambao ni mfumo wa uchambuzi wa kifedha unaotumia teknolojia ya Akili Mnemba(AI) uliobuniwa kuboresha tathmini za mikopo katika uchumi usio rasmi wa Tanzania. Mfumo huu unafanyia uchambuzi taarifa za benki na fedha za simu likiwawezesha watoa huduma…
“Mioto ya mizozo inazidisha eneo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu, ikiwa ni pamoja na Gaza, na huko Lebanon. Na joto linaonekana nchini Syria pia – kuongezeka kwa kasi tayari kuna athari kubwa kwa raia wa Syria na Syria,” Geir Pedersen alisema, akitoa taarifa kwa mabalozi kuhusu suala hilo. Baraza la Usalama. “Nataka kutoa onyo la…
• Tume ya Madini yaainisha mikakati yake kufikia 10% ya Pato la Taifa • Yasimamia ajira 18,853 za Watanzania katika kampuni za madini • Leseni za madini 34,000 zatolewa • Katibu Mtendaji aipongeza Wizara ya Madini chini ya Waziri Mavunde kwenye usimamizi wa Sekta ya Madini. Mwandishi Maalum, Tume ya Madini. MIAKA mitatu ya Rais…
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa, leo Oktoba 24, 2024, amezindua mradi wa maji na Zahanati yenye thamani ya jumla ya shilingi milioni 436.4 katika wilaya ya Mkalama, mkoani Singida. Mradi wa maji uliozinduliwa katika kijiji cha Nkalakala, umegharimu shilingi milioni 348.9 na unapunguza changamoto waliyokuwa nayo…
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe (Mb) akikabidhiwa zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Utafiti wa mbogamboga (World Vegetable Center), Bi. Colleta Ndunguru kwenye viwanja vya maonesho ya ‘Tanzanite Manyara Trade Fair 2024’ (Stendi ya zamani ya mabasi-Babati) Oktoba 23, 2024 mkoani Manyara. …… Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,…
Shirikisho la soka Afrika CAF limetangaza timu, Wachezaji na Makocha wanaowania tuzo za CAF 2024. Golikipa wa Yanga SC Djigui Diarra ni miongoni mwa Magolikipa wanaowania tuzo ya Kipa bora wa mwaka wakati Simba SC na Yanga zikiwa miongoni mwa timu 10 zinazowania tuzo ya Timu bora ya mwaka upande wa Vilabu Huku timu ya…
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw. Salim Msangi amewasilisha taarifa ya utendaji ya TCAA katika Mkutano wa 17 wa Wadau wa Sekta ya Uchukuzi kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini unaofanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 23- 25, 2024 katika kituo cha mikutano cha kimataifa Arusha (AICC). Mkutano huo wa siku tatu unaofanyika…
Na Mwandishi wetu, Dodoma Imeelezwa kuwa ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha Duniani (IMF), inayoonesha kuwa uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa asilimia sita mwaka 2025, itasaidia kuiweka Tanzania katika nafasi nzuri ya kuongeza kiwango cha uwekezaji na hivyo kuongeza ajira na kupunguza umasikini. Akiongea na waandishi wa habari jijini Dodoma Oktoba 24,…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi amesema Mchezo wa makachu umekuwa fursa nzuri ya kuitangaza Zanzibar kimataifa . Rais Dk, Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 24 Oktoba 2024 alipofika Bustani ya Forodhani Kuangalia Mchezo huo ambao umekuwa maarufu na kuvutia wenyeji na wageni wengi wanaokuja nchini. Aidha Rais…