
BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Bi. Eveline Haule, Msaidizi wa Kisheria kutoka shirikala Iringa Paralega Center akisoma taarifa ya utekelezaji Mbele ya Bodi ya Kitaifa ya Ushauri ya Msaada wa Kisheria ilipofika katika ofisi zat zilizopo Iringa Mjini maeneo ya Mwembetogwaleo 24/10/2024. Na Lusajo Mwakabuku – WyKS Iringa Bodi ya Kitaifa ya Ushauri ya Msaada wa Kisheria ikiwa katika…