Suluhisho la kupiga mkwanja lipo Meridianbet

  KILA siku unawaza wapi utaweza kupiga mkwanja tena mrefu na kwa jinsihali hii ilivyokuwa ngumu, basi usipate shaka, Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet imekuletea suluhu. Ni mchezo “Rich Panda”. Mchezo huu unapatika katika Kasino pekee ya Mtandaoni kutoka kwa Mabingwa wa Kubashiri. Mchezohuu ukiacha kukupa mkwanja mrefu pia una muonekano wa  ulimwengu wa picha…

Read More

BASHUNGWA AMBANA MKANDARASI KASI NDOGO UJENZI WA BARABARA YA NYAMWAGE – UTETE

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa hajaridhishwa na usimamizi na kasi ya ujenzi wa wa barabara ya Nyamwage – Utete (km 33.7) kwa kiwango cha lami na kumuagiza Meneja wa Wakala ya Barabara (TANROADS) Mkoa wa Pwani, Eng. Baraka Mwambage kumsimamia Mkandarasi China Railway Seventh Group (CRSG) akamilishe kuleta Wataalam pamoja na Mitambo itakayomwezesha kutekeleza mradi…

Read More

Mali za Urusi zilizozuiwa Ulaya kutumika kuikopesha Ukraine – DW – 24.10.2024

Mali za Urusi zitakazotumiwa katika mpango huo ni zile zilizozuiwa tangu Moscow ilipowekewa vikwazo baada ya kuivamia Kyiv, uamuzi uliofanywa baada ya Umoja wa Ulaya kufanya majadiliano na Marekani. Nyaraka za kisheria kuhusu maamuzi hayo zinaonesha kuwa, faida kutokana na mali za Urusi zilizozuiwa Umoja wa Ulaya zitapaswa kutumika kwa ajili ya mikopo inayotolewa na kundi…

Read More

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA AFUNGUA MAONYESHO YA TANZANITE MANYARA TRADE FAIR 2024

Na Cathbert Kajuna – Kajunason/MMG, Manyara. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amefungua maonyesho ya Tatu ya biashara ,Viwanda ,kilimo na Madini ya Tanzanite Manyara Trade Fair 2024 yaliyofanyika yaliyofanyika katika Viwanja vya Stendi ya Zamani mjini Babati Mkoani Manyara huku akiahidi kuwa serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kibiashara na uwekezaji ili kukuza…

Read More

Sekta nne kuimarisha uhusiano wa Tanzania, Pakistan

  TANZANIA na Pakistan, zimekubaliana kupanua wigo wa ushirikiano ili kukuza uhusiano wa nchi hizo mbili, wakizingatia vipaumbele na manufaa ya wananchi wao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Wakizungumza pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud…

Read More

UEFA EUROPA LEAGUE INAPIGWA LEO NA MKWANJA UPO WAKUTOSHA

UNAAMBIWAJE!! Michuano ya Uefa Europa league itapigwa leo Alhamisi na timu mbalimbali zitatupa karata zao uwanjani kutafuta alama, Huku wewe ukiwa na nafasi ya kushinda maokoto ya kutosha kupitia michezo hiyo itakayochezwa. Michezo ya Europa league imekua ikiwapa watu wengi fursa ya kunyakua mamilioni kila ambapo michuano hii inapokua inachezwa, Hivo leo ni siku nyingine…

Read More

Ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam wailteta kampuni ya ‘Volkswagen’ nchini

  KAMPUNI ya kutengeneza magari ya Volkswagen ya Ujerumani imeonesha nia ya kuitumia Bandari ya Dar es Salaam kusafirisha magari na vipuri baada ya kuitembelea bandari hiyo na kueleza kuridhishwa kwake na ufanisi kufuatia uwekezaji na maboresho makubwa yaliyofanyika bandarini hapo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akiongea baada ya kutembelea eneo la…

Read More

Rais wa Yanga ashinda tuzo Ufaransa

Na Mwandishi Wetu Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng. Hersi Said, ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango kwenye maendeleo ya soka barani Afrika. Sherehe ya utoaji tuzo hizo za ‘Nigeria-France Sports Awards,’ zilifanyika juzi jijini Paris, Ufaransa na Tuzo hiyo ya Hersi ilipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa na…

Read More