Mawaziri wa Mambo ya Nje wapitisha ajenda za CHOGM

MAWAZIRI wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola wamekutana leo Oktoba 24, 2024 kujadili na kupitisha ajenda Kuu ya Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) ya Ustahimilivu katika kufikia malengo ya pamoja ya kimaendeleo ‘One Resilient Common Future’ pamoja na agenda nyingine zitakazojadiliwa katika vikao vya Wakuu…

Read More

TCRA na TAMWA wamekuja na hii kwa waandishi wa habari

Leo 24 Oktoba 2024 – Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), wamezungumza na waandishi wa Habari kutangaza kuzisogeza mbele Tuzo za ‘Samia kalamu Awards’ ambazo walizindua tarehe 13 Oktoba 2024, ikiwa ni ushiriki wa wanahabari katika tuzo hizo zenye kaulimbiu “Uzalendo Ndio Ujanja.” Wakiongea na…

Read More

Kutana na Wanawake Vijana Waliokamatwa kwa Kupambana na Ufisadi nchini Uganda – Masuala ya Ulimwenguni

Kemitoma Siperia Mollie, Praise Aloikin, na Kobusingye Norah walifikishwa mahakamani mapema mwezi wa Septemba. Walishtakiwa kwa kero ya kawaida. Credit: Wambi Michael/IPS by Wambi Michael (kampala) Alhamisi, Oktoba 24, 2024 Inter Press Service KAMPALA, Oktoba 24 (IPS) – Hadi hivi majuzi, Margaret Natabi hangeweza kamwe kuwa na ndoto ya kuchukua vita yake ya kupambana na…

Read More

Israel na Hezbollah washambuliana maeneo muhimu – DW – 24.10.2024

Katika taarifa yake, jeshi la Israel limesema limefanya mashambulizi ya anga usiku kucha katika maeneo linayodai ni muhimu kwa wanamgambo wa Hezbollah, vikiwemo vituo kadhaa vya kuhifadhi na kutenegeza silaha katika eneo la Dahiyeh. Vyombo vya habari nchini Lebanon vimeripoti kwamba takribani majengo sita yalishambuliwa na kuharibiwa vibaya kwenye mashambulizi hayo ya anga ya Israel….

Read More

WAZIRI MKUU AKUTANA BALOZI WA BELARUS NCHINI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 24. 2024 amekutana na Balozi wa Belarus nchini Tanzania Pavel Vziatkin, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam. Katika mazungumzo hayo, Mheshimiwa Majaliwa amemweleza Balozi Pavel kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na Belarus katika Sekta za Madini, Afya, Utalii, Kilimo na Biashara kwa faida ya nchi…

Read More