Emirates bolsters commercial team, with key appointments across the Middle East and Africa

EMIRATES has announced several appointments in its commercial team across key markets in the Middle East and Africa to help further strengthen the airline’s leading position and support its long-term strategic initiatives. The rotation will enable seasoned outstation managers, including six UAE Nationals, to further enhance Emirates’ commercial capabilities in their respective markets by bringing…

Read More

Tanzania Yasheherekea Siku ya Shampeni kupitia Kinywaji maarufu cha Moët & Chandon

MOËT & CHANDON wameadhimisha Siku ya Shampeni kwa hafla ya kusisimua iliyofanyika kwenye ghorofa ya juu kabisa ya Hoteli ya Kifahari ya Hyatt Regency. Hafla hiyo ililenga kusherehekea “Ubunifu usio na mwisho katika ufundi,” ukiwaleta pamoja wabunifu, waundaji, na watengeneza mitindo ya mavazi, wakiwemo Juma Jux, Ommy Dimpoz, Mtani Bespoke, Kiki Fashion, Branoh Bahati, Victoria…

Read More

JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA USAFIRI WA ANGA TANZANIA LAWAKUTANISHA WANAWAKE VIONGOZI JIJINI DAR ES SALAAM

  Mkutano wa kwanza wa Jukwaa la Wanawake katika usafiri wa anga Tanzania umefanyika kwa mara ya kwanza ukiwakutanisha wanawake viongozi katika sekta ya Usafiri wa Anga nchini.  Ufunguzi wa Jukwaa hilo umefanyika jijini Dar es Salaam ulifanywa na  Mhe. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Mhe. Riziki Juma Pembe, ambapo…

Read More

Nini UNRWA ilijenga – Masuala ya Ulimwenguni

UNRWA ilianzishwa na Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 1949 ili kutekeleza mipango ya moja kwa moja ya misaada na maendeleo kwa Wapalestina waliopoteza makaazi yao kufuatia vita vya Waarabu na Israeli vya 1948. Picha ya Umoja wa Mataifa imeratibu mkusanyo kutoka kwenye kumbukumbu yake ambayo inafuatia kazi muhimu ya shirika hilo tangu ilipoanza…

Read More

Trump apiga kampeni kwenye gari la taka taka

Donald Trump ameonekana akitumia njia za kipekee na zenye utata katika kampeni zake baada ya kuonekana kwenye Gari la Taka akiwa na ujumbe kwa Wapinzani wake wa Chama cha Democratic, Rais Joe Biden pamoja na Makamu wake Kamala Harris, Trump alishuka kwa mbwembwe kutoka kwenye Ndege yake binafsi akiwa na vesti ya usalama yenye rangi…

Read More