
Ukosefu wa taulo za kike ni changamoto kwa wanafunzi
Ukosefu wa taulo za kike hususani kwa wanafunzi wanaotoka katika kaya masikini ni miongoni mwa changamoto zinazochangia baadhi yao kushindwa kuhudhuria masomo kwa kipindi chote cha hedhi hali inayosababisha baadhi yao kushindwa kufanya vizuri kwenye masomo yao kulinganisha na wengine wenye uwezo. Kufuatia hali hiyo Kampuni ya Beneficia imeamua kutoa msaada wa taulo za kike…