
Halmashauri ya mji wa Geita yaanza kutekeleza agizo ya serikali la kutenga bilioni moja za mkopo.
Halmashsuri ya Mji Geita Imeanza kutekeleza Maagizo ya Serikali ya kutenga kiasi cha Fedha Shilingi Bilioni 1 kwa robo ya Mwaka wa Fedha za Mikopo za Asilimia 10 ikiwa ni Sehemu ya Maagizo yaliyotolewa na Serikali hivi karibuni. Akizungumza katika Ufunguzi wa Semina ya kuwajengea uwezo Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoka Halamshauri ya Mji Geita…