
OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI YAKUTANA NA KAMATI YA BAJETI NA KAMATI YA UTAWALA KATIBA NA SHERIA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo,akiwasilisha Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26 kwenye Kamati ya Bajeti. Dodoma, Tanzania Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji (OR-MU), leo imewasilisha mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2025/26 kwenye kamati ya Bajeti. Mpango huo uliyowasilishwa na…