
PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 24,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 24,2024 About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 24,2024 About the author
Na Benny Mwaipaja, Washington D.C Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amezihimiza nchi za Afrika kwa kushirikiana na Taasisi za Fedha Duniani pamoja na Sekta Binafsi, kuhakikisha kuwa zinawekeza kwenye uzalishaji wa nishati ya uhakika na yenye gharama nafuu ili kutimiza malengo ya kujiimarisha kiuchumi, kuchochea uwekezaji, uzalishaji wa bidhaa na huduma na…
Matokeo hayo yametolewa na Katibu Mkuu ripoti ya hivi karibuni ya mwaka juu ya wanawake, amani na usalama. Kuongezeka kwa vifo na vurugu ni “kinachofanyika dhidi ya hali ya kuongezeka kwa kutozingatiwa kwa wazi kwa sheria ya kimataifa iliyoundwa kulinda wanawake na watoto wakati wa vita,” kulingana na UN Womenwakala anayeongoza kwenye ripoti hiyo. Kulipa…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango, (kulia) akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Umeme kutoka EWURA, Mhandisi Aurea Bigirwamungu (kushoto) akimueleza kuhusu shughuli za EWURA, wakati wa Maonesho ya Kongamano la 10 la Jotoardhi, linaloendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, leo tarehe…
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ameshiriki Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu za nchi za Afrika (African Caucus – WB) uliomshirikisha Rais wa Benki ya Dunia, Bw. Ajay Banga, Jijini Washington D.C, nchini Marekani, ambako Dkt. Nchemba, anaongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mikutano ya Mwaka ya…
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezindua jengo la utawala katika Shule ya Sekondari ya Mwandege lililojengwa na kukamilika kupitia fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga lililogharimu kiasi cha Shilingi Milioni 119.9. Bashungwa amezindua jengo hilo leo Oktoba 23, 2024 Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani ikiwa ni muendelezo wa ziara yake maalum…
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo (Mb) akisalimiana na Mhe. Prof.Margaret Kamar kutoka Kenya ambaye ameongoza Ujumbe wa Kamati ya Bunge La Pan Afrika kuhusu Utafiti na Utetezi katika Masuala ya Biashara, Forodha na Uhamiaji katika Utekelezaji wa Mpango wa Majaribio ya ufanyaji biashara chini ya Mkataba wa AFCFTA Tanzania katika kikao kilichofanyika…
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia TAMISEMI, Ndg. Sospeter Mtwale amesema Serikali imedhamiria kuhakikisha mfumo IFTMIS (Inspection and Finance Tracking Management Information System) utakuwa ukitumika nchi nzima kabla ya Julai 2025 ili kurahisisha Ukaguzi na Ufuatiliaji wa fedha katika Mamlaka za Serikali za Mitaa. Ndg. Mtwale ameyasema hayo leo tarehe 23/10/2024 wakati…
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameipongeza Benki ya NBC kwa jitihada na mkakati wake wa kutoa elimu kuhusu matumizi ya huduma rasmi za kifedha kwa makundi mbalimbali ya kijamii wakiwemo wanafunzi na wananchi hususani wa maeneo ya vijijini. Kwa mujibu wa Prof, Mkenda mbali na kuchochea kasi ya ukuaji uchumi jumuishi,…
Wakazi wa Wilaya ya Iramba na Mkalama, Mkoani Singida, wanatarajia kunufaika na barabara ya kiwango cha lami inayojengwa kuunganisha mikoa ya Singida, Simiyu, hadi Arusha. Mradi huu, wenye thamani ya shilingi bilioni tisa, umefikia asilimia 65 ya utekelezaji. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa, ametembelea na kukagua mradi huo…