Wananchi waaswa kuacha kudanganyika na ushirikina

  WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima amewaasa wananchi kuacha kudanganyika na imani za kishirikina kwa imani za kupata mafanikio. Anaripoti Mwandishi Wetu, Nzega, Tabora … (endelea).  Waziri Dk. Gwajima ameyasema hayo leo tarehe 23 Oktoba, 2024 wakati akizungumza na wananchi, kwenye Wilaya za Igunga na Nzega mkoani…

Read More

TASAC yawapiga msasa Kikosi cha Polisi cha Wanamaji

*Yataka ushirikiano wa karibu katika udhibiti wa vyombo vidogo vya majini Na Chalila kibuda ,Michuzi TV Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limetoa mafunzo kwa Jeshi la Polisi Kikosi cha Polisi cha Wanamaji katika masuala ya usimamizi wa vyombo vya majini. Akizungumza wakati wa utoaji wa Mafunzo kwa Jeshi la Polisi Kikos cha Wana…

Read More

WANANCHI WA HAI WAFURIKA KUPATA HUDUMA ZA KIBINGWA

Na. WAF – HAI Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Hai Dkt. Emmanuel Minja amesema kuwa wananchi wa wilaya hiyo wamejitokeza kwa wingi kupata huduma za kibingwa na ubingwa bobezi kutoka kwa Madaktari bingwa wa Rais Samia Suluhu Hassan walioweka kambi Wilayani humo kwa siku saba. Dkt. Minja amesema hayo leo wakati wa kambi…

Read More

DKT.MPANGO ATEMBELEA BANDA LA EWURA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Isdor Mpango (kulia) akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Umeme kutoka EWURA, Mhandisi Aurea Bigirwamungu (kushoto) akimueleza kuhusu shughuli za EWURA, wakati wa Maonesho ya Kongamano la 10 la Jotoardhi, linaloendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, leo 23/10/2024….

Read More