
WAZIRI MKENDA ASIFU KAZI YA TIRA, ATAKA WAENDELEE KUVUTIA WAWEKEZAJI WAZAWA
Na Mwandishu wetu,Michuzi Tv Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia. Adolf Mkenda amesifu shughuli zinazofanywa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima ya kusimamia sekta hiyo muhimu kwa Taifa huku akiitaka taasisi hiyo kuendelea kuweka miundombinu itakayovotia wawekezaji wengi zaidi wa sekta ya bima kutoka Tanzania. Ameyasema hayo mapema leo wakati alipotembelea Banda la TIRA…