
NMB kukuza Vipaji vya Ubunifu, Mageuzi ya Kidijitali UDSM Co-ICT
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM BENKI ya NMB na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wamesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano, unaolenga Kukuza Vipaji, Ubunifu, Uwekezaji katika Mageuzi ya Kidigitali na Msaada wa Kifedha kwa wanafunzi wa Chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Co-ICT), kilicho chini ya chuo hicho. Makubaliano hayo ya…