Njaa Inaharibu Miili ya Watoto wa Syria, Inadumaza Ukuaji Wao – Masuala ya Ulimwenguni

Samah Al-Ibrahim hawezi kumpa mtoto wake maziwa. Watoto wanaozaliwa katika familia za wakimbizi wa ndani katika kambi za mashambani kaskazini mwa Idlib wanatamani sana kupata chakula cha kawaida na virutubisho vya maziwa kwa watoto wao. Credit: Sonia al-Ali/IPS na Sonia Al Ali (idlib, Syria) Jumatano, Oktoba 23, 2024 Inter Press Service IDLIB, Syria, Oktoba 23…

Read More

KASEKENYA:BARAZA LA WAFANYAKAZI NI JUKWAA MUHIMU MAHALA PA KAZI

  NAIBU Waziri wa Ujenzi Mhandisi  Godfrey Kasekenya,akizungumza wakati  akizindua  Baraza la Wafanyakazi la Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) lililofanyika leo Oktoba 23,2024 jijini Dodoma. NAIBU Waziri wa Ujenzi Mhandisi  Godfrey Kasekenya,akizungumza wakati  akizindua  Baraza la Wafanyakazi la Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) lililofanyika leo Oktoba 23,2024 jijini Dodoma. Mwakilisha wa Katibu Mkuu Wizara ya…

Read More

Ng’arisha wiki yako kwa kucheza Rich Panda

Unaweza kuing’arisha wiki yako kwa kucheza mchezo wa Kasino wa Rich Panda leo mchezoambao kwasasa umekua kivutio kikubwa kwa wacheza kasino, Cheza mchezo huu leo uwezekupata nafasi ya kua moja ya washindi wa mamilioni wanaoibuka kila siku. Mchezo huu wa Rich Panda unatoa nafasi kubwa ya kuweza kushinda kitita kutokana na namnarahisi ya kuweza kucheza…

Read More

MATUNDA YA UWEKEZAJI WA BANDARI YA TANGA YAANZA KULIPA MELI YA 12 ILIYOBEBA SHEHENA YA MAGARI YATUA

Meneja wa Bandari ya Tanga Masoud Mrisha akizungumza na waandishi wa habari ambao hawapo pichani baada ya kuipokea meli iliyotoka nchini China moja kwa moja kuleta shehena ya magari kupitia kampuni ya Meli ya SeaFront Shipping Services Limited (SSS).Afisa Uhusiano wa TPA Enock Bwigane akizungumza wakati wa mapokezi ya meli hiyo Na Oscar Assenga,TANGA MATUNDA…

Read More

Ni lazima kupima vyakula vya Mifugo-Dkt. Makondo

Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) imewataka wazalishaji na wauzaji wa vyakula vya Mifugo kupima ubora vya vyakula wanavyovizalisha ili kujiradhisha kama vinakidhi ubora unaotakiwa kwa lengo la kulinda afya za mifugo pamoja wa watumiaji wa mazao ya mifugo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Huduma za Uchunguzi kutoka…

Read More